MOFPORT

MASHARTI YA HUDUMA · TOLEO LA 20 OKTOBA 2026

Masharti ya kutumia MOFPORT

Masharti haya ni makubaliano kati ya MOFULI Multibusiness & Services (BRELA 630591, "MOFULI") na kampuni au mmiliki anayejisajili ("Mteja"). Kwa kusajili au kutumia MOFPORT, Mteja anakubali masharti haya na Sera ya Faragha.

1. Huduma

MOFPORT ni mfumo wa mtandaoni wa kusimamia vyombo vya usafiri: usajili wa vyombo na madereva, ramani ya GPS wakati wa zamu, hesabu za kila siku, deni la dereva, matumizi, service, vikumbusho vya nyaraka, ripoti, app ya dereva, na (ikiwashwa) uchambuzi wa picha kwa AI.

2. Usajili na uhakiki

3. Majaribio, vifurushi na funguo za leseni

4. Malipo

5. Wajibu wa Mteja kwa madereva

6. Uchambuzi wa picha kwa AI

Usomaji wa odometer, utambuzi wa vipuri na usomaji wa risiti kwa AI unaweza kukosea. Mfumo unaonyesha kiwango cha uhakika na unaweka alama ya kuhakiki pale unapotilia shaka; uamuzi wa mwisho ni wa Mteja.

7. Upatikanaji wa huduma

8. Taarifa za Mteja

9. Kikomo cha dhima

Kwa kiwango kinachoruhusiwa na sheria, dhima ya jumla ya MOFULI kwa madai yoyote yanayotokana na huduma hii haizidi kiasi alicholipa Mteja katika miezi 3 kabla ya tukio. MOFULI haiwajibiki kwa hasara isiyo ya moja kwa moja, kama faida iliyopotea, wizi wa chombo, au faini za barabarani.

10. Kusimamisha na kufunga

11. Sheria na migogoro

Masharti haya yanaongozwa na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pande zote zitajaribu kwanza kumaliza mgogoro kwa mazungumzo; ukishindikana, utapelekwa kwenye mahakama zenye mamlaka Tanzania.

12. Mawasiliano

MOFULI Multibusiness & Services, Dar es Salaam · info@mofuli.co · 0610 154 907.