HESABU
Deni la dereva linajihesabu
Dereva anaweka hesabu ya siku kwenye app. Ukithibitisha, upungufu unaingia kwenye deni lake na ziada inalipunguza.
MOFULI · MOFPORT
MOFPORT · USIMAMIZI WA VYOMBO
Jua kila bodaboda, bajaji, Noah au lori iko wapi wakati wa zamu, imeleta kiasi gani, deni la kila dereva, service inayokuja, na nyaraka zinazokaribia kuisha. Majaribio ya bure siku 7 baada ya kampuni yako kuhakikiwa.
HESABU
Dereva anaweka hesabu ya siku kwenye app. Ukithibitisha, upungufu unaingia kwenye deni lake na ziada inalipunguza.
GPS YA ZAMU
Simu ya dereva inaunganishwa ofisini. GPS inafanya kazi kati ya "Anza zamu" na "Maliza zamu" tu, na tahadhari ya mwendo kasi.
FAIDA
Mapato ukiondoa mafuta, service, vipuri na faini. Ripoti ya mwezi unaichapisha au kuipakua kwa Excel.
NYARAKA
Bima, leseni ya barabara, LATRA, ukaguzi na leseni ya dereva: kikumbusho siku 30, 7 na 1 kabla.
KUMILIKI
Dereva na mmiliki wanaona amelipa kiasi gani, kimebaki kiasi gani, na lini atamaliza.
DEREVA
Vitufe vikubwa, alama ya nyota ya dereva, SOS, kuripoti ubovu na risiti ya mafuta kwa picha.
VIFURUSHI
Bei ni kwa mwezi. Ukilipia miezi 3 unapata punguzo la 5%, miezi 6 punguzo la 10%, na miezi 12 punguzo la 15%.
Tayari umesajili? Ingia hapa. Msaada: 0610 154 907 · Dar es Salaam.
Masharti ya Huduma · Sera ya Faragha · MOFULI Multibusiness & Services, BRELA 630591